Site Feedback

Chat in Swahili

Hey guys, my name is Eve. I was born in Kenya and now live in the U.S. but Swahili is my native language so if anyone is interested I would be willing to do some chats and stuff in swahili with them for free :) Let me know if you interested

Share:

Comments

Eve, Jina langu ni Carlos. Ninatoka Spain. Ningependa kuongea kiswahili.

Sasa Carlos. Bado una taka kuongea Kiswahili? I have been a little busy with studies but I am free most Saturdays and Sundays. The weekdays are still tough for me 

Habari yako dada yangu?  Na Hamjambo wote?
Ninge penda kujuana na watu wengi wale wasamaye Kiswahili,lugha ya Kiswahili kinavutia sana mimi, sijui kwa sababu gani. Najaribu kusoma, ingawa nikiwa mbali na Afrika mashariki siku hizi.
 

 Habari gani dada yangu? Nime furahia kupata mtu ametoka inchi ya Japan mwenye anapenda Kiswahili. Ulipata aje hii luga? Jina lako ndio?

Misawa Nyamera! Idhi nade kono?  Abende amor yudo duoko mari.
Anyalo wach Dholuo gi Kiswahili. Nikech ne asebedo dak e Nairobi kuom kinde
mar higni piero ariyo. Kata kamano pod an japuonjore(Dholuo), anyalo wach 
Kiswahili maber loyo Dholuo. Erokamano 

Pole niliandika kwa pahali pabaya kwa makosa.
Nakutumia neno langu tena.

MIsawa naymera! Idhi nade kono?
Abende amor yudo duoko mari. Anyalo wacho Dholuo kendo Kiswahili、nikech ne asebedo
dak e Nairobi. Kata kamano anyalo wuoyo Kisawahili loyo Dholuo. Kuom dhokni an pod japuonjore.
Koro oriti masani.  In bende aduokona mondo andikni kendo. 

Mos, nitiere mis-type mang'ey, mos ahinya.

Pole Eve, sijahakikisha nawe kama wewe ni wa kutoka Nyanza, lakini 
nimeshakuongelesha na Dholuo.
Samahani kwa hiyo,kwa vile nilipata jibu kutoka kwako akili yangu imeruka kabisa. 
Pole inaweza kuwa wewe ni msichana wa kutoka Nyeri、Thika, Nakuru, Kericho, Kisii,ama Voi, Machakos na kadhaika. Tafadhali usisikie vibaya.

 I am not sure what you are saying. I am from Kisii.

Habari gani? Pole kwa ile Comment yangu, kumbe wewe ni wa kutoka Kisii. 
Niliwahi kupita Kisii na Akamba bus mara nyingi wakati nilielekea Homabay.
Wakati nilipoona picha yako, nikafikiria wewe ni wa lazima kutoka Western Kenya、kwa hivyo
nikafikiria ni mjaluo ama mluhya、hiyo ndio sababu nilikusalimia na Kijaluo.
Nakuomba usamaha, nakutumaini uwe na siku njema pahali upo.

Add a comment