Seif
Hivi humu ndani hakuna anayejifunza Kiswahili???

Inaonyesha wanaojifunza kiswahili wanajificha sanaa.

 

 

Hebu jiongezeni msiogope saana Waswahili tupo tutawasaidia.

Mar 18, 2015 4:13 PM
Comments · 8
1

Najua)

May 25, 2015
1

Ahsante, rafiki 

May 25, 2015
1

poa)

May 25, 2015
1

hujambo rafiki yangu?)

May 22, 2015

poa

 

May 26, 2015
Show more