Site Feedback

Notebook

Written in
Author's native language
Show
 • Habari
  Habari. Jina langu ni Jostein. Natoka Unowe. Sijui yoyote Kiswahili, lakini nataka kujifunza.
 • nilikuwa ninahitaji msaada kufundishwa
  naomba msaada wenu kwasababu nataka kujua kiingreza kwa undani zaid
 • Kiswahili kwa dawa
  Bado umepigwa picha? Did you have an x-ray yet? Ni lazima ufanye picha ya tumbo. It is necessary that you do an x-ray of the stomach. Haikuonesha kitu. It did not show anything. Imeonesha ...
  • 1
  • Swahili
  • David
  • Oct 23, 2015
  • 0 corrections
  • 1 comment
  • 51 views
 • Swahili practice
  Kabla hatujaenda nyumbani tupate pesa kidogo. Kabla hujaondoka Tanazania ununue maembe. Kwa kawaida mimi hukula maembe kila asubuhi. Amekuwepo soko? Ndiyo, alinunua nanasi. Nilikuwako Taiwan na ...
 • Tatizo kubwa ya kujifunza lugha mpya
  Ninafikiri tatizo kubwa ya kujifunza lugha mpya ni hofu ya kufanya mpumbavu. Watu wengi mwenye akili wansema Kiingereza tu. Wanafanya kazi kwa bidii na kwa kawaida wakwenda shule kwa muda mrefu. Wa...
  • 0
  • Swahili
  • David
  • Oct 14, 2015
  • 0 corrections
  • 0 comments
  • 56 views
 • Swahili Resorces
  After several requests from my Swahili students to provide them Swahili learning resources, I have finally created a fully integrated website https://learn-swahili-lessons.com where Swahili student...
  • 0
  • Swahili
  •  
  • Hamdy
  • Oct 13, 2015
  • 0 corrections
  • 1 comment
  • 79 views
 • Hadithi Yangu
  Mimi nilizaliwa katika Buffalo, New York na nilikula katika Syracuse, New York. Nina kaka wadogo na dada mmoja mdogo. Wakati nilikuwa na miaka minane, babu yangu alikuwa na mshtuko wa moyo. Hivyo n...
  • 0
  • Swahili
  • David
  • Oct 12, 2015
  • 0 corrections
  • 0 comments
  • 63 views
 • Ninaandika kwa Kiswahili
  Nilipokuwa shulani nilisoma vitabu vyingi uongeze maarifa ya historia. Alipokuwa Nairobi alikula vitunguu kidogo. Leo nitakapokuwa kazini nitafanya vitu vyingi. Paka wetu alipokuwa wadogo tulich...
 • So much practice
  Sijasoma kitabu kwa Kiswahili lakini ninakusudia. Tunapenda matembezi hii. Tuendelee. Wanawatafuta gazeti lao wanipe. Nilinunua pilipili nipike supu. Alienda maktaba kuwatafuta kitabu. Mwalim...
 • More practice
  Niliishi Kanada muda wa miaka miwili. Alisoma sayansi muda wa miezi mitatu. Usome sayansi, uisome muda wa miaka mitano. Siku ya kuzaliwa yangu ni tarehe kumi ni moja, mwezi wa Juni. Nilianza sh...
 • Practice!
  Lazima asome kitabu kwasababu huenda shulani. Lazima niende kazini. Ninakusudia kujinfunza Kiswahili zuri sana. Alikusudia kusoma vitabu vyingi lakini hujapata nafasi bado. Nyumba yenu ilijengw...
 • Telling time
  Mimi hunywa chai kila asubuhi saa mbili na robo. Mimi huenda kazini saa mbili na kasarobo. Siendi bado. John ataenda sokoni saa kumi na mbili na dakika kumi. Anachelewa. Tutaenda shulani saa mo...
 • Practice
  Mimi hufika kazini kwa wakati daima. Wakati wengi hufika mapema. Anapenda kwenda maktabini kwasababu anapenda kusoma vitabu. Ninapenda kusoma pia. Mama yangu humenipatea vitabu vyingi. Ninatoka k...
 • Practice
  Rafiki yangu ameniletea mavazi. Sasa ninayo. Nimekuletea machungwa kidogo. Hadithi ni nzuri kabisa. Ametuelezea. Kitabu hiki ni kizuri kabisa. Ninacho nyumbani yangu. Wamepokea barua ya mama ...
 • Practice!
  Mama yake alimpa kitabu. Atakisoma bila shaka baadaye kidogo. Tumewaandikia barua. Baadaye kidogo atatuandikia barua pia. Bila shaka nitaenda kazini kesho lakini nimechoka leo. Unawapenda mkate ...