Site Feedback

rafiki yangu Vika

nina rafiki anaitwa Vika,na yeye ni rafiki yangu bora.yeye na mume wake wanaishi karibu na mjini wangu.leo asubuchi alipiga simu na aliomba mimi kwenda nyumbani yako.baada ya kazi nilikwenda.nilifikiri alitaka kuzungumzo kwa sababu tulifanya kazi ngumu na hatuwezi kusema.lakini kama kwenda niligundua yeye peke yake kitandani.tunataka kuvuta sigara na kunywa kahawa,lakini leo halitaki.nilifikiri amechoka lakini aliomba mimi kupa chumvi na sielewi!halafu alisema anapata mimba na labda atazaa mtoto wa kike!lakini mume wake sijui)))nilifurahi mno na niliondoka kwa sababu anahitaji kustarehe.nilimwomba yeye kuacha kazi na kutembelea mno)alisema kama yeye atazaa mtoto wa kike,ata ita yeye Anna,kama mtoto wangu

Share:

 

0 comments

  Please enter between 0 and 2000 characters.

   

  Corrections

  rafiki yangu Vika

  nina rafiki anaitwa Vika,na yeye ni rafiki yangu bora.yeye na mume wake wanaishi karibu na mjini wangu.leo asubuchi alipiga simu na aliomba mimi kwenda nyumbani yako.baada ya kazi nilikwenda.nilifikiri alitaka kuzungumzo kwa sababu tulifanya kazi ngumu na hatuwezi kusema.lakini kama kwenda niligundua yeye peke yake kitandani.tunapenda kuvuta sigara na kunywa kahawa,lakini leo halitaki.nilifikiri amechoka lakini aliomba mimi kupa chumvi na sielewi!halafu alisema anapata mimba na labda atazaa mtoto wa kike!lakini mume wake sijui)))nilifurahi mno na niliondoka kwa sababu anahitaji kustarehe.nilimwomba yeye kuacha kazi na kutembelea mno)alisema kama yeye atazaa mtoto wa kike,ata ita yeye Anna,kama mtoto wangu

  Write a correction

  Please enter between 25 and 8000 characters.

   

  More notebook entries written in Swahili

  Show More