Site Feedback

Message to Zanzibar 4

This is a message I want to write to my supervisor from Zanzibar last summer. I have copied the Swahili version followed by the English version:


Ndugu Aliy,

Natumaini wewe ni vizuri na unapenda kadi hii na taarifa kuhusu ya mji wangu wa Seattle. Kujenga mrefu katika picha hii ni, “The Space Needle” na ina mgahawa kwa juu. Chris Engler yeye alitoa taarifa kuhusu mradi wa utalii ng’amba katika Uzi na nadhani ni ajabu. Natumaini kutembelea Uzi tena kwa haraka. Nina uhakika wakati mimi kutembelea, utalii katika Uzi itakuwa nzuri sana. Tafadhali unatoa zawadi katika sanduku hii kwa mtu yeyote ambaye mahitaji yao. Mimi alama zawadi baadhi kwa wanawake na watoto, na zawadi nyingine ni kwa mtu yeyote. Tafadhali unatoa kumkumbatia kwa Mohammed, Fatma, na Jesus kwa ajili yangu, mwambie Namna nasema jambo, na mwambie mke wako katika Stone Town nasema pongezi.

Tutaonana tena inshallah,

Katie


Dear Aliy,

I hope you are doing well and that you like this card with information about my hometown of Seattle. The tall building in the picture is “The Space Needle” and has a restaurant at the top. Chris Engler sent me information about the turtle tourism project on Uzi and it sounds wonderful. I hope to visit Uzi again soon. I am sure by the time I visit, tourism in Uzi will be very good. Please give the gifts in this box to anyone who needs them. I have labeled some gifts for women and children, and the other gifts are for anyone. Please give hugs to Mohammed, Fatma, and Jesus for me, tell Namna I say hello, and tell your wife in Stone Town I say congratulations.

I will see you again, God willing,

Teacher Katie

Share:

 

0 comments

  Please enter between 0 and 2000 characters.

   

  Corrections

   


  Mpendwa Aliy,

  Natumaini u mzima na utapenda kadi hii inayohusu mji ninaoishi wa Seattle. Jengo refu katika picha hii ni, “The Space Needle” na lina au kuna mgahawa  juu yake. Chris Engler alinitumia taarifa kuhusiana na mradi wa utalii wa kobe kwenye Uzi, inavutia sana kwa kweli. Nina uhakika nitakopotembelea huko, utalii utakua mzuri zaidi. 

  Tafadhali wagawie zawadi hizi katika kasha hili kila mmoja anayehitaji. Nimeweka alama baadhi ya zawadi kwa ajili wanawake na watoto, na zawadi nyingine ni kwa yeyote. Tafadhali mpe kumbatio langu Mohammed, Fatma, na Jesus, msalimie Namna na mwambie mkeo nampa hongera au pongezi.

  Tutaonana tena Mungu akipenda,

  Mwalimu Katie.

  Write a correction

  Please enter between 25 and 8000 characters.

   

  More notebook entries written in Swahili

  Show More