nataka kutembea!
mimi nataka kuandika matini mahali hapa lakini sina wakati!sina budi kurudi nyumbani na kuendelea matini hiyo.zaidi nataka kuondoka na kufanya matembezi!twemde tukatembee!)))))))))))))))))))))

Share:
Corrections
Nataka kwenda matembezini au kutembea.
Hapa nilipo nataka kuandika matini (unamaanisha nini kwa neno matini? liandike kwa kiingereza), lakini sina nafasi.sina budi kurudi au inabidi nirudi nyumbani na kufanya au ili nifanye kazi hiyo. lakini kwanza nataka niondoke, nikatembee kidogo.Karibu tukatembee!)))))))))))))))))))))
Write a correction
Please enter between 25 and 8000 characters.

0 comments
Please enter between 0 and 2000 characters.