Site Feedback

binti yangu

nina binti anaitwa Anna.yeye alizaliwa tarehe 28 februari mwaka 2008.mimi na Anna ni watu mbalimbali sana-ninapenda paka,na anapenda mbwa,napenda mawe na anapenda maua,napenda kuvuta sigara na kujifunza kiswahili na anapenda kucheza,kuimba,kuruka na kukimbia.napenda kulala na hapendi,zaidi hapendi kutii!anna ni mtoto vizuri sana ana macho ya buluu na nuwele nyeuse inasukwa ya namna mbalimbali.kila siku anabadili nguo,bangili na herini,na anafurahi mno kama nilimkubali kubali kupa rangi ya mdomo.anajua kucheza dansi na kuimba,hasa walimu wake wanasema anahitaji kujifunza muziki na dansi.tunaisni nyumbani pamoja na mama yangu anaitwa Nadezhda ana daktari pia.mimi napenda ukoo yangu kushinda wote duniani

Share:

 

1 comment

    Please enter between 0 and 2000 characters.

     

    Corrections

                                                Binti yangu Anna.

    Nina binti anaitwa Anna, amezaliwa tarehe 28, Februari (mwezi wa pili), mwaka 2008.Mimi na Anna tumetofautiana sana kitabia ;napenda paka,yeye mbwa,napenda mawe, yeye maua ,napenda kuvuta sigara na kujifunza kiswahili, yeye anapenda kucheza,kuimba,kuruka na kukimbia,napenda kulala, yeye hapendi,na mbaya zaidi si msikivu.

    Anna ni binti mrembo mno, ana macho ya bluu na nywele nyeusi. Anasuka mitindo mbalimbali ya nywele, kila siku anabadili nguo,bangili na hereni,na anafurahi mno ninapomkubalia kupaka rangi ya mdomo. Ana kipaji kikubwa cha kucheza na kuimba muziki vizuri sana.

    Walimu wake wanasisitiza anahitaji kujifunza kuimba muziki na kucheza, ili kuendeleza kipaji chake alichonacho. Tunaishi pamoja na mama yangu, anaitwa Nadezhda na ni daktari .Napenda familia yangu au ukoo wangu kuliko kitu chochote  duniani.

     

     

     

    Write a correction

    Please enter between 25 and 8000 characters.

     

    More notebook entries written in Swahili

    Show More