Site Feedback

kujua tu kanuni saba za kwanzaa ni wa kutosha ...

Mpaka sasa, kiwango cha ufahamu wangu wa swahili ulikuwa mambo ambayo mimi kujifunza wakati mimi kuhudhuria sherehe za kwanzaa katika vituo vya jamii nilipokuwa mdogo. Na mimi nina kutambua kwamba ni wa kutosha kwa ajili yangu. Nipate kamwe kujua nini hasa lugha ya baba zangu alisema, lakini naweza angalau kujifunza kitu na kufanya nijisikie karibu na mizizi yangu.

Share:

 

0 comments

    Please enter between 0 and 2000 characters.

     

    Corrections

    No corrections have been written yet. Please write a correction!

    Write a correction

    Please enter between 25 and 8000 characters.

     

    More notebook entries written in Swahili

    Show More