Site Feedback

First notebook entry: Introducing myself

Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Lugha za kigeni ,Tianjin. Ninajifunza Kiswahili .Jina langu ni Juma .Mimi ni kijana mzuri. Mimi ni mchangamfu . Ninapenda kuimba,kucheza mpira,kusoma vitabu,kuzungumzia watu wa wageni. Natumai kupata maendeleo kubwa zaidi siku za mbele. Nafurahi sana kukuona na wewe .

Share:

 

0 comments

  Please enter between 0 and 2000 characters.

   

  Corrections

  No corrections have been written yet. Please write a correction!

  Write a correction

  Please enter between 25 and 8000 characters.

   

  More notebook entries written in Swahili

  Show More