tulitembea kati milima
Jumapili, mimi na rafiki wawili tulitembea kati milima karibu na Los Angeles. Ilikuna theluji kidogo. Milima ya Kalifornia Kusini huwa kavu, kwa hiyo tulichukua maji zaidi. Tulipanda Milima San Antonio, na tulijaribu kwenda Milima Iron, lakini hatukuweza, kwa hiyo tulirudi juu na Milima San Antonio. Ilikuwa siku refu sana, na tulichoka sana, lakini tulimefurahi sana.
Share:
Corrections
tulitembea kati milima
Jumapili, mimi na rafiki wawili tulitembea kati milima karibu na Los Angeles. Ilikuna theluji kidogo. Milima ya Kalifornia Kusini huwa kavu, kwa hiyo tulichukua maji zaidi. Tulipanda Mlima San Antonio, na tulijaribu kwenda Mlima Iron ("Chuma"), lakini hatukuweza, kwa hiyo tulirudi juu na Milima San Antonio. Ilikuwa siku refu sana, na tulichoka sana, lakini tulimefurahi sana.
Write a correction
Please enter between 25 and 8000 characters.

0 comments
Please enter between 0 and 2000 characters.