Site Feedback

mke wangu

Mke wangu ni mtu zaidi muhimu ya maisha yangu. Tulikuona kwa mwaka 1987. Tulikuwa mwanafunzi. Rafiki wangu hakuona alikuwa mwanamke mema ya mimi, au nilikuwa mwanaume mema ya yeye. Yeye alikuwa mkristo, lakini mimi ni mkanamungu. Lakini tunafanana. Hatukutaka kutumia pesa. Tunapenda kitabu na muziki. (Ninapenda jazz, anapenda rock and roll.)

Tuna wabinti wawili. Binti mkongwe anapenda neno, muziki, katuni. Binti changa anapenda kompyuta na hisabati.

Ninatoka Kalifornia Kaskazini. Mke wangu anatoka Buffalo, New York. Sasa tunaishi kwa Kalifornia Kusini. Hakupenda theluji na baridi ya Buffalo. Anapenda jua ya Kalifornia. Sisi ni profesa. Mke wangu anasomesha Kifaransa.

Share:

 

1 comment

    Please enter between 0 and 2000 characters.

     

    Corrections

    Mke wangu ni mtu muhimu katika maisha yangu.Tulikutana mwaka 1987 tukiwa wanafunzi?Rafiki yangu alikuwa mwanamke mwema zaidi ya mimi au nilkuwa mwanaume mwema zaidi ya yenye.Yenye alikuwa mkrisho lakini mimi nilikuwa mkanamungu(mpagani)Lakini tulifanana.Hakutaka pesa.Tulipendana kitabu na muziki.(Ninapenda jazz,anapenda rock na zuku)

     

    Tuna mabint wawili.Binti mkubwa anapenda neno,muziki na katuni.Binti mdogo anapenda Komputar na hisabanti.

     

    Natokea Kalifornia kaskazini.Mke wangu anatokea Buffalo,New york.sasa tunaishi Kalifornia kusini.Hakupenda thuluji na barafu ya Buffalo.Anapenda jua ya Kalifornia.Sisi ni maprofesa.Mke wangu ni mwalimu anafundisha Kifaransa.

     

    Write a correction

    Please enter between 25 and 8000 characters.

     

    More notebook entries written in Swahili

    Show More