Site Feedback

mkazi wa tano

Nyumba yetu ina mkazi watano.

Nne wana uhuru, lakini mkazi wa tano hana uhuru. Alikija nyumbani yetu, niliona alitaka kuwa na uhuru. Hapana. Yeye hutaka mchicha na nyasi.

Ndege wanataka kumla -- kwa hiyo, hutaka kujificha. Ni mdogo, na nyumba yetu ni kubwa mno. Labda mna ndege? Makini! Jiko ni kubwa. Mna ndege? Hatari sana! Mkazi wa tano hutaka kuishi katika ya kasha ndogo.

Mkazi wa tano ni mdogo. Anakula mmea. Anapenda mchicha na nyasi. Si binadamu, ni simbilisi. Jina yake ni Tubie. Kazi yangu ni kukata kucha yake. Mke wangu na wabinti wangu wawili humpa chakula na maji wake.

Share:

 

0 comments

    Please enter between 0 and 2000 characters.

     

    Corrections

    No corrections have been written yet. Please write a correction!

    Write a correction

    Please enter between 25 and 8000 characters.

     

    More notebook entries written in Swahili

    Show More