Site Feedback

shindano la mbio

Jumapili, nilikimbia katika ya shindano la mbio ya 5 kilomita. Shindano ilikuwa kwa ajili ya kupata fedha kwa shule. Wakimbiaji walikuwa 114. Wingi walikuwa watoto wa shule, na wingine walikuwa wazazi wetu, lakini walikuna wakimbiaji wachache wa nguvu. Tupoanza shindano, mimi nilikuwa wa nane. Kabla ya mimi, walikuna baba na mwana mdogo. Niliona mwana hawakuweza kukimbia shindano yote upesi sana. Niliona alichoka, na mimi nilienda kabla ya yeye. Hapana! Kilomita ya mwisho, mwana alienda upesi! Mwishowe, mwana alikimbia ya sita, baba wake ya saba, na mimi ya tisa.

Baada ya shindano, nilimuliza mwana alikuwa na miaka mingapi. Alikuwa na miaka 12!

Share:

 

0 comments

    Please enter between 0 and 2000 characters.

     

    Corrections

    shindano la mbio

    Jumapili, nilikimbia katika shindano la mbio la  kilomita  5. Shindano lilikuwa kwa ajili ya kupata fedha za shule. Wakimbiaji walikuwa 114. Wengi walikuwa watoto(wanafunzi) wa shule, na wengine walikuwa wazazi wao, lakini walikuwa wakimbiaji wachache wenye nguvu. Tulipooanza shindano, mimi nilikuwa wa nane. Kabla ya mimi, walikuwa baba na mwana mdogo. Niliona mwana hakuweza kukimbia shindano lote upesi. Niliona alichoka, na mimi nilienda kabla yake. Hapana! Kilomita ya mwisho, mwana alienda upesi! Mwishowe, mwana alikimbia ya sita, baba yake ya saba, na mimi ya tisa. 

    Baada ya shindano, nilimuliza mwana ana miaka mingapi. Akasema ana miaka 12!

    Write a correction

    Please enter between 25 and 8000 characters.

     

    More notebook entries written in Swahili

    Show More