Ninaishi katika Fullerton, Kalifornia. Mwaka mmoja uliopita katika Fullerton, polisi sita waliwaua Kelly Thomas, mwanaume hanapakukaa na mgonjwa wa akili. Baraza la mji hakutaka kuadhibu polisi. Polisi mwingine alishambulia wanamke 12 tangu 2008. Sasa, kuna uchaguzi ili kuondoa wanachama watatu wa baraza. Mimi ninataka kubadilisha polisi na baraza la mji la Fullerton.
Share: