Mimi ninaitwa Anna. Ninajifunza Kiwswahili kwa sababu ninaishi Tanzania, na naona kwamba nu muhimu sana kuongea lugha ya watu hapa.
-> ni
Ninatoka Ireland. Lugha cha kwanza kwangu ni Kiingereza.
-> ya
Ninapenda muziki, ninapenda pia kusoma, na Christmas iliopita wazazi zangu walinipa Kindle
-> wangu
naipenda sana! Ninapenda pia kusafiri, na kwenda inchi tofauti, utamaduni tofauti zimenivutia.
-> nchi tofauti (or mbalimbali), (kwa sababu) tamaduni
('u'tamaduni -> singular, tamaduni -> plural)