Site Feedback

First notebook entry: Introducing myself

i,m leaning both english and swahili in more advanced level,simply I want to study abroad,iwant makes friends from United State of America.My natives language is Swahili language and i grew up in Tanzania,I enjoy listening music,Visting in Animals parks,Reading Books. Nasoma lugha zote mbili kiswahli na Kiingereza kwa undani zaidi.Hii ni kwa sababu nina hitaji kwenda kujiendeleza kimasomo inje ya nchi.Nahitaji marafiki kutoka Marekani.Lugha yagu ya asili ni Kiswahli,nimezaliwa na kukulia Tanzania bara. Napendelea kutembelea mbuga za wanyama,kusikiliza muziki,kusoma vitabu mbalimbali.Kwa yeyote ambaye anahitji rafiki naomba niwe rafkiki yake.

Share:

 

1 comment

  Please enter between 0 and 2000 characters.

   

  Corrections

  No corrections have been written yet. Please write a correction!

  Write a correction

  Please enter between 25 and 8000 characters.

   

  More notebook entries written in Swahili

  Show More