Site Feedback

First notebook entry: Introducing myself

Habari gani? Jina langu ni Shaun. Ninatoka Uingereza. Mimi ni mwanafunzi. Ninasoma katika cho kikuu cha Royal Holloway (University of London). Pia, nina Miyaka ishirini na sita. Sasa, ninaishi katika Kisumu hapa. Kisumu ni mahali pazuri, lakini kuna machizi wengi huku. Kuna ziwa karibu na mji na watu wengi wanavua samaki hapo. Basi, ninajifunza kuongea kiswahili, lakini, sijajifunza kuongea kiswahili vizuri bado. Mimi, ninapojifunza kiswahili nisahau maneno nyingi kwa vile nipata lugha wa kiswahili ngumu. Walaking, nitajaribu kuza maarifa yangu. Basi, nina mwalimu anayenifunza kusema kiswahili.

Share:

 

1 comment

  Please enter between 0 and 2000 characters.

   

  Corrections

  First notebook entry: Introducing myself

  Habari gani? Jina langu ni Shaun. Ninatoka Uingereza. Mimi ni mwanafunzi. Ninasoma katika cho kikuu cha Royal Holloway (University of London). Pia, nina Miyaka miaka ishirini na sita. Sasa, ninaishi katika Kisumu hapa. Kisumu ni mahali pazuri, lakini kuna machizi wakora wengi huku. Kuna ziwa karibu na mji na watu wengi wanavua samaki hapo. Basi, ninajifunza kuongea kiswahili, lakini, sijajifunza kuongea kiswahili vizuri bado. Mimi, ninapojifunza kiswahili ninasahau maneno nyingi mengine kwa vile nipata ninaona lugha wa ya kiswahili ni ngumu. WalakingLakini, nitajaribu kukuza maarifa yangu. Basi, Nina mwalimu anayenifunza kusema Kuongea Kiswahili.

  Habari gani? Jina langu ni Shaun. Ninatoka Uingereza. Mimi ni mwanafunzi. Ninasoma katika cho kikuu cha Royal Holloway (University of London). Pia, nina Miyaka ishirini na sita.

  -> miaka

   

  Sasa, ninaishi katika Kisumu hapa.

   

  <Native spearkers sometimes pointed me I should not use "katika" like that.

  Actually I am not sure when I should use "katika", though it is easy word.>

   

  Kisumu ni mahali pazuri, lakini kuna machizi wengi huku. Kuna ziwa karibu na mji na watu wengi wanavua samaki hapo. Basi, ninajifunza kuongea kiswahili, lakini, sijajifunza kuongea kiswahili vizuri bado.

   

  <"Nimejifunza kiswahili, lakini bado sijaongea vizuri." is better.>

   

  Mimi, ninapojifunza kiswahili nisahau maneno nyingi kwa vile nipata lugha wa kiswahili ngumu.

   

  <hmm...

  "Hata nikijaribu kukumbuka maneno, baada ya muda, maneno yote yatatoka, kwa sababu kiswahili ni kigumu." is better.>

   

  Walaking,

   

  <I don't know this word, sorry.>

   

  nitajaribu kuza maarifa yangu. Basi, nina mwalimu anayenifunza kusema kiswahili.

   

  <if you would like to say "I tried to show my information.

  Anyway, I should get a teacher who will teach me how to speak in swahili"

  or something,

  "Nimejaribu kuonesha taarifa yangu. Basi,

  nikapate mwalimu atakayenifundisha namna ya kuongea kiswahili" is better>

   

  Write a correction

  Please enter between 25 and 8000 characters.

   

  More notebook entries written in Swahili

  Show More