First notebook entry: Introducing myself
I know kiswahili very bad, a little bit better, I speak English
Corrections
First notebook entry: Introducing myself
nina soma Ninasoma Kiswahili kwa sababu nina rafiki Mtanzania na ninataka kuzungumza naye katika kwa lugha yake. Nina Mimi ni Mrusi, ninafanya kazi kama daktari, ninafanya na wa watoto. (I have assumed that you wanted to say: (I am Russian and I work as a paeditrician). Ninataka Ninafurahia (I like - as hobbies) kusoma, kupika chakula, kuimba, kungoma (kupiga ngoma). Nataka kufurahi kwa na rafiki mpya/marafiki wapya.
I know my Kiswahili very bad, a little bit better, I speak English a little bit better.
ninataka - I want
Endelea kujifunza.
Kwa kweli unajua kiswahili.
Labda umejitaidi sana na bidii.
nina soma kiswahili kwa sababu nina rafiki Mtanzania na ninataka kuzungumza naye katika lugha yake.
-> rafiki ya (m)tanzania
Nina Mrusi, daktari, ninafanya na watoto.
<Sorry I cannot understand this sentence.>
Ninataka kusoma, kupika chakula, kuimba, kungoma.
-> kupiga ngoma
Nataka kufurahi kwa rafiki mpya.
-> na rafiki wapya (depending on context, though I'm not sure.)
Write a correction
Please enter between 25 and 8000 characters.

1 comment
Please enter between 0 and 2000 characters.