Diana Monkey
Twende! Mimi ni mwanfunzi wa anthropoloji. Masomo yangu ni kuhusu nyani katika Afrika Magharibi. Katika wiki sita, nitaenda Cote d'Ivoire kufanya mazoezi yangu ya PhD. Ningependa si, katika Cote d'Ivoire, wao wanasema kiswahili kwa sababu ninafikiri kwamba kiswahili ni lugha bora kuliko kifaransa. Lakini sasa, ninahitaji kujifunza kifaransa. Sitaki kusahau kiswahili changu chote; kwa hivyo nitaandika hapa katika kiswahili tu!
May 3, 2013 2:36 AM
Corrections · 1

Twende!

Mimi ni mwanfunzi wa anthropolojia. Masomo yangu ni kuhusu nyani katika Afrika Magharibi. Katika wiki sita, nitaenda Cote d'Ivoire kufanya mazoezi yangu ya PhD. Ningependa si, katika Cote d'Ivoire, wao wanasema kiswahili kwa sababu ninafikiri kwamba kiswahili ni lugha bora kuliko kifaransa. Lakini sasa, ninahitaji kujifunza kifaransa. Sitaki kusahau kiswahili changu chote; kwa hivyo nitaandika hapa katika kiswahili tu!

May 3, 2013
Want to progress faster?
Join this learning community and try out free exercises!