Site Feedback

Makala yangu

Nina makala ambaye nimeandika leo asubuhi. Hii simalizi, lakini ningependa kuituma gazeti kabla ya kwenda Cote d'Ivoire. Ninafikiri kwamba ninaweza! Hakuna shida. Makala hii ni kuhusu chakula cha nyani ninazidoea.

Asubuhi hii pia, paka zangu walipigana. Nimejaribu kuwazuia, lakini wao ni wabaya sana. Baadaye, mimi na mpenzi wangu tulikula chakula cha Mexico kusherekea siku ya uhuru wao, Tano ya Mwezi Tano!

Kesho, nitarudi chuoni kuandika zaidi... rafiki yangu ataondoka kwenda Mombasa na Diani kwa wiki miwili. Ninatumaini ninaweza kurudi pwani ya Kenya siku moja ...

Share:

 

1 comment

  Please enter between 0 and 2000 characters.

   

  Corrections

   

  Makala yangu

  Nina makala ambayo nimeandika leo asubuhi. Hii simalizi, lakini ningependa kutuma gazeti kabla ya kwenda Cote d'Ivoire. Nafikiri kwamba ninaweza! Hakuna shida. Makala haya ni kuhusu chakula cha nyani.

  Asubuhi hii pia, paka wangu walipigana. Nimejaribu kuwazuia, lakini ni wabaya sana. Baadaye, mimi na mpenzi wangu tulikula chakula cha Mexico kusherekea siku ya uhuru wao, Tarehe tano wa Mwezi wa Tano!

  Kesho, nitarudi chuoni kuandika zaidi... rafiki yangu ataondoka kwenda Mombasa na Diani kwa wiki mbili. Ninatumaini ninaweza kurudi pwani ya Kenya siku moja ...

  Write a correction

  Please enter between 25 and 8000 characters.

   

  More notebook entries written in Swahili

  Show More