Site Feedback

Naomba msaada kwa Kiwahili?

Jambo, naitwa Bernhard na natoka Ujermumani. Nina miaka hamsini na mitano na nimeanza kusoma Kiswahili juzijuzi. Kwa bahati mbaya, ninaweza kusema tu kidogodogo. Ninanitaka mbia wa lugha ambaye ananisaidia kwa lugha ya Kiswahili, kwa badilishiano nitafunza Kijerumani.

Please excuse my terrible Swahili, but this was the first try to write some sentences!

Kwa heri!

Bernhard

Share:

1 comment

  Please enter between 0 and 2000 characters.

  Corrections

  Naomba msaada kwa Kiswahili?

  Jambo, jina langu ni Bernhard kutoka Ujerumani. Nina umri wa miaka hamsini na mitano na nilianza kusoma Kiswahili juzi juzi. Kwa bahati mbaya, ninaweza kusema kidogo kidogo tu. Ninamtafuta mjuzi wa lugha ambaye atanisaidia kuimarisha Kiswahili changu- kwa badilishano nitamfunza Kijerumani.

  Please excuse my terrible Swahili, but this was the first try to write some sentences!

  Kwaheri!

  Bernhard

  Naomba msaada kwa Kiwahili?

  Jambo, naitwa Bernhard na natoka Ujermumani. Nina miaka hamsini na mitano na nimeanza kusoma Kiswahili juzijuzi. Kwa bahati mbaya, ninaweza kusema tu kidogodogo. Ninanitaka mbia wa lugha ambaye ananisaidia kwa lugha ya Kiswahili, kwa badilishiano nitafunza Kijerumani.

  Please excuse my terrible Swahili, but this was the first try to write some sentences!

  Kwa heri!

  Bernhard

  Write a correction

  Please enter between 25 and 8000 characters.

  More notebook entries written in Swahili

  Show More