[Deleted]
Nahitaji kuzoea Kiswahili changu. Habari wote! Nilikaa Tanzania karibu na miaka minne. Nilikuwa nafanya kazi kule kama mwalimu wa Kiingereza. Niliwafundisha vijana waliyokuwa katika miaka kumi na misita kwa ishirini na mitatu. Niliondoka Tanzania na mwezi wa tatu 2010. Sasa nimeandua naanza kusahau Kiswahili changu. Hiyo Ndiyo ni sababu yangu kwa kuingi site hii. Sitaki kupoteza Kiswahili. Tafadhali tunisaidie!
Jul 5, 2013 7:42 AM