Nataka kujifunza Kiswahili :)
Shikamoo!
Kwa majina naitwa Sveta.
Naishi Urusi.
Nasoma Swahili sasa hivi na nitafurahia usaidizi wowote.
Asante sana.
Nataka kujifunza Kiswahili (correct)
Shikamoo! (shikamoo ni kwa waliokuzidi umli tu, you should say 'habali')
Kwa majina naitwa Sveta. (majina is more than one, you should say kwa jina)
Naishi Urusi. (good)
Nasoma Swahili sasa hivi na nitafurahia usaidizi wowote.
Asante sana.(excellent)