Site Feedback

Yote kuhusu yangu

Nitafasiri toka Kiingereza kwa Kiswahili:
"Greetings, my name is Nevin Janzen and I am a language enthusiast. I am from the province of Alberta, Canada and I have been learning Swahili (Standard/Tanzanian) for almost 4 months. I would love to learn Esperanto and Canadian (Québec) French over the next year as well. I have a passion for communicating with people from other cultures and languages.
Best regards,
Nevin"

Hujambo, jina langu ni Daudi Zekaria na mimi ni mshabiki wa lugha. Natoka mkoa Alberta, Kanada na nimejifunza Kiswahili cha Tanzania kwa karibu miezi minne. Ningependa kujifunza Kiesperanto na Kifaransa cha Kanada katika mwaka ujao pia. Nina shauku ya kuzungumza kwa watu wa tamaduni mbalimbali na lugha.
Shikamoo,
Daudi

Asante sana kwa kusaidia mimi! Heri zote!

Share:

0 comments

  Please enter between 0 and 2000 characters.

  Corrections

  Yote kuhusu yangu

  Yote kunihusu (All about myself)

  Nitafasiri toka Kiingereza kwa Kiswahili:

  Nitatafsiri kutoka Kiingereza hadi Kiswahili: (I'll translate from English to Kiswahili:)

  "Greetings, my name is Nevin Janzen and I am a language enthusiast. I am from the province of Alberta, Canada and I have been learning Swahili (Standard/Tanzanian) for almost 4 months. I would love to learn Esperanto and Canadian (Québec) French over the next year as well. I have a passion for communicating with people from other cultures and languages.
  Best regards,
  Nevin"

  "Hujambo Hamjamboni, jina langu ni Daudi Zekaria Nevin Janzen na mimi ni mshabiki wa lugha. Natoka Nitokako ni mkoa wa Alberta, Kanada na nimejifunza nimekuwa nikijifunza Kiswahili cha Tanzania kwa karibumiezi minne. Ningependa kujifunza Kiesperanto na Kifaransa cha Kanada pia katika mwaka ujaopia. Nina shauku ya kuzungumza kwa kuwasiliana na watu wa tamaduni na lugha mbalimbali na lugha.
  Shikamoo Nikiwatakia mema kabisa,
  Daudi Nevin."

  Asante sana kwa kusaidia mimi kunisaidia! Heri zote!

  Write a correction

  Please enter between 25 and 8000 characters.

  More notebook entries written in Swahili

  Show More