marie
Najaribu Hiyo ni note ya kwanza, katika kiswahili. Nilikaa Kenya mwaka mmoja na nusu, lakini nimesahau haraka! Nitajaribu kuendelea kuandika kiswahili. Nitaona lafiki leo. Anaitwa Marie kama mimi. Tulizaliwa same day.(How can I say this?) Ninafurahi na excited. Nisaidie kukumbuka kiswahili.
Dec 14, 2013 1:10 AM