Nevin Janzen
Yote kunihusu Hamjamboni, jina langu ni Daudi Zekaria (jina la Kiswahili nililojipa mwenyewe) na mimi ni shabiki wa lugha. Natoka mkoa wa Alberta, Kanada na nimekuwa nikijifunza Kiswahili (Kawaida/Tanzania) kwa karibu miezi mitano. Ningependa kujifunza Kiesperanto pia katika mwaka ujao. Tu kama wewe, nina shauku ya kuwasiliana na watu wa tamaduni na lugha mbalimbali. Nikiwatakia mema kabisa, Daudi
Dec 31, 2013 3:38 AM
Corrections · 1
congratulations Daudi your Swahili is proper. enjoy Swahili Languege, karibu Tanzania.
January 16, 2014
Want to progress faster?
Join this learning community and try out free exercises!