Site Feedback

Swahili Online

 

Wanagapi wanajua kuzungumza kiswahili hapa? manake naona watu kidogo sana wana hamu ya kujua kiswahili. Ningependa kuona watu wakijifunza kiswahili kwa wingi. Siku njema, Asanteni!

Share:

 

3 comments

  Please enter between 0 and 2000 characters.

   

  Corrections

   

  Swahili Online

  Wangapi wanaweza kuzungumza kiswahili hapa? manake naona watu kidogo sana Duniani wanazungumza kiswahili. Ningependa kuona watu wakijifunza kiswahili kwa wingi. Siku njema, Asanteni!

  Write a correction

  Please enter between 25 and 8000 characters.

   

  More notebook entries written in Swahili

  Show More