My first Swahili lesson
Today I've learned these sentences:
Jina lako ni gani? Jina langu ni Patricia/ Mimi naitwa Patricia.
Ni heri kukutana nawewe.
Una fanya kazi gani? Mimi ni mwalimu.
Una miaka mingapi? Nina miaka ishirini na nne.
Sasa ni saa ngapi? Sasa ni saa sita na dakika arobaini na saba.
Una toka wapi? Mimi natoka Rio.
Unapenda nini? Napenda kupigana.
Unasoma skuli? Ndio.
Unasoma wapi? Nasoma chuo kikuu.
Uko mwaka wa ngapi? Niko mwaka wa mwisho.
Umewahi kusafiri? Ndio, nimewahi kusafiri Uchina.
Nimechoka... Tutaendelea tena baadae. Kwaheri!
:D