Ben
Swahili Intro Habari! Jina langu ni Ben, na mimi ni mwanafunzi. Natoka Marekani. Sasa ninataka kusema kiswahili, na ninataka kusema kuhusu mimi mwenyewe. Zamani nilisema mimi ni mwanafunzi. Katika shule, ninapenda kusoma elimu na elimu ya hesabu. Mimi pia ninapenda kusoma lugha na vitu viingine. Mimi ninapenda kusoma kila kitu. Sana ninapenda kusoma. Pia, ninapenda kucheza mpira wa kikapu, kutenda parkour, kuwa kwa marifiki, kuvua na kuwinda. Ninataka kusoma kiswahili kwa sababu ninataka kuenda kwa Kenya na kuwa mwalimu. Ninataka kufunza na kusaidia watu katika Kenya na katika mahali maingine. Mbele ya hiki, nilijaribu kusoma kirusi, lakini si nilikuwa na hamasa, na nilikosa. Lakini sasa, nina sababu zuri, kwa sababu ninataka kuwa mwalimu na kufunza katika Kenya. Ninajua nitasoma kiswahili, kwa sababu nina sababu zuri.
Oct 29, 2014 12:37 AM