Ida Midnattssol
Somo la kwanza Habari zenu? Mimi naitwa Ida, nina miaka 26 na ninaishi Sweden. Ninaolewa na Mtanzania na tumepata mtoto mmoja mpaka leo, natumaini tutapata wengine badaae! Nilipokuwa Tanzania nimejifunza kiswahili kidogo kidogo, lakini nataka kujua zaidi kuliko sasa - nifundishe tafadhali! ;)
Dec 19, 2014 7:49 AM