Kuhusu Mwenyewe
Ninatoka New York, NY. Mimi ni mwanafunzi wa Kiswahili katika chuo kikuu katika Merikani. Ninapenda sana muziki. ninapenda kuangalia maonyesha ya televisheni kama Arrow, Flash, Empire na Scandal. ninataka kusafiri Tanzania majira ya joto hii kama inawezakana.