First notebook entry: Introducing myself
Shikamoo !
Nilikuwa nikiishi huko Kenya kwa muda fulani.
Na sasa niko tu Japan, na naogopa kusahau lugha ya Kiswahili nikiwa hapa.
Hiyo ndiyo sababu yangu ya kusoma lugha hii, halafu mbali na Kiswahili, naendelea kusoma Dholuo pia

Share:
Corrections
First notebook entry: Introducing myself
Shikamoo !Nilikuwa nikiishi huko Kenya kwa muda fulani.
Na sasa niko tu Japan, na naogopa kusahau lugha ya Kiswahili nikiwa hapa.
Hiyo ni sababu yangu ya kusoma lugha hii, halafu mbali na Kiswahili, naendelea kusoma Kijaluo pia
First notebook entry: Introducing myself
Shikamoo !Nilikuwa nikiishi huko Kenya kwa muda fulani.
Na sasa niko tu Japan, na naogopa kusahau lugha ya Kiswahili nikiwa hapa.
Hiyo ni
Write a correction
Please enter between 25 and 8000 characters.

1 comment
Please enter between 0 and 2000 characters.