pmadry
Kujifunza Swahili Hujambo, mini ni furaha sana kuwa na hapa. Natumaini kujifunza mengi ya kiswahili na kuboresha hotuba yangu. Mimi kuangalia mengi ya sinema Kiswahili juu ya Youtube kajaribu kuelewa Kiswahili zaida.Bora sinema Swahili ni Siri ya Mtung. Mimi nandika familia yangu Kiswahili katika ujumbe wa simu na musema kidogo. Lakini mimi kupata aibu akizungumza Kiswahili kwa famili yangu. Nataka kuwa kama sahihi kama naweza lini mimi kuzumgumza kwa familia yangu.Asante sana kwa nafasi kufanya mozoezi hapa na kujifuna sahihi swahili sarufi na hutamkwa.
Mar 15, 2015 1:33 AM