Maj
Kwanza kuingia (kuingia = entry?) Mimi ninasikia wewe. Lakini wewe usikii mimi. Ninapenda kula. Mtoto mkijivu anapenda kupika, lakini watoto wabluu apendi kupika.
Mar 22, 2015 3:14 AM
Corrections · 1
Mimi Ninakusikia Wewe, Lakini Wewe hunisikii Mimi. Ninapenda kula,Mtoto Mkijivu Anapenda kupika,Lakini Watoto wa Bluu hawapendi Kupika'' Good Try,,,,,
March 23, 2015
Want to progress faster?
Join this learning community and try out free exercises!