sea.piglet
Practice! Mama yake alimpa kitabu. Atakisoma bila shaka baadaye kidogo. Tumewaandikia barua. Baadaye kidogo atatuandikia barua pia. Bila shaka nitaenda kazini kesho lakini nimechoka leo. Unawapenda mkate kwasababu mkate umejaa dalasini. Wameukula kidogo na sasa wameshiba. Vinakupenda vitabu vya sampuli hii, hasa vitabu kuhusu sayansi. Mimi hupigia simu mama yangu kila wiki. Rafiki yake alipata paka. Mbali na kuwa weusi, paka ni wadogo.
Sep 22, 2015 1:25 PM