sea.piglet
Practice Rafiki yangu ameniletea mavazi. Sasa ninayo. Nimekuletea machungwa kidogo. Hadithi ni nzuri kabisa. Ametuelezea. Kitabu hiki ni kizuri kabisa. Ninacho nyumbani yangu. Wamepokea barua ya mama yao. Barua imejaa hadithi ya nyumba. Amewaletea paka. Paka ni mdogo na mweusi. Mwanaume ametuletea pili pili. Tunazo zipo jiko na tutapika baada ya chamshakinywa.
Sep 23, 2015 1:26 PM