sea.piglet
Telling time Mimi hunywa chai kila asubuhi saa mbili na robo. Mimi huenda kazini saa mbili na kasarobo. Siendi bado. John ataenda sokoni saa kumi na mbili na dakika kumi. Anachelewa. Tutaenda shulani saa moja na nusu. Bibi hutembea kila mchana saa nane na kasorobo. Watasoma magazeti saa nne kasa dakika kumi ya jioni. Paka hulala kutwa. Anataka kucheza kucha.
Sep 30, 2015 1:17 PM