sea.piglet
More practice Niliishi Kanada muda wa miaka miwili. Alisoma sayansi muda wa miezi mitatu. Usome sayansi, uisome muda wa miaka mitano. Siku ya kuzaliwa yangu ni tarehe kumi ni moja, mwezi wa Juni. Nilianza shulani tarehe kumi ni tano, mwezi wa Septemba, mwaka wa elfu, mia tisa, tisini na sita. Dan ameenda soko muda wa saa mbili. Tukate kuenda soko tununue maembe lakini tulichelewa.
Oct 6, 2015 1:10 PM