David
Hadithi Yangu Mimi nilizaliwa katika Buffalo, New York na nilikula katika Syracuse, New York. Nina kaka wadogo na dada mmoja mdogo. Wakati nilikuwa na miaka minane, babu yangu alikuwa na mshtuko wa moyo. Hivyo niliamua kwamba mimi ingekuwa kuwa daktari. Mimi ni daktari ya tumbo kwa sababu taratibu ni sawa na michezo ya video. Nimekuwa kwa mara Kenya tatu na kurudi aprili ijayo. Nimefanya kazi katika Tenwek Hospitali mara nyingi. Napenda kuzsema na wagonjwa kwa Kiswahili lakini si vizuri sana. Mke wangu nami tuna binti mmoja na mwana moja. Kwa muda bure nafurahia uvuvi, lugha, na snowboarding. Ningependa kujifunza zaidi Kiswahili.
Oct 12, 2015 3:50 PM
Corrections · 4

Hadithi Yangu

Mimi nilizaliwa katika mtaa wa Buffalo, New York na nilikula katika Syracuse, New York. Nina kaka wadogo na dada mmoja mdogo. Wakati nilikuwa na miaka minane, babu yangu aliugua ugonjwa wa mshtuko wa moyo. Hivyo niliamua kwamba mimi nitakuwa  daktari. Mimi ni daktari wa tumbo kwa sababu utaratibu wake ni sawa na michezo ya video. Nimekuwa Kenya kwa mara tatu na nitarudi aprili ijayo. Nimefanya kazi katika  Hospitali ya Tenwek mara nyingi. Napenda kuzungumza na wagonjwa kwa Kiswahili lakini si vizuri sana. Mke wangu nami tuna binti mmoja na mvulana mmoja. Kwa muda wa mapumziko nafurahia uvuvi, lugha, na kuteleza barafuni kwa kipungu. Ningependa kujifunza zaidi Kiswahili.
July 18, 2018
Mimi nilizaliwa katika Buffalo, New York na nilikula katika Syracuse, New York. Nina kaka wadogo na dada mmoja mdogo. Wakati nikiwa na miaka minane, babu yangu alipata mshtuko wa moyo. Hivyo niliamua kwamba mimi ningekuwa  daktari. Mimi ni daktari wa tumbo kwa sababu taratibu ni sawa na michezo ya video. Nimekuwa nikiendaKenya  mara kwa mara na ninatarajia kurudi aprili ijayo. Nimefanya kazi katika Tenwek Hospitali mara nyingi. Napenda kuongea Kiswahili na wagonjwa lakini si vizuri sana.Mimi na mke wangu  tuna binti mmoja  . Kwa muda mrefu nafurahia uvuvi, lugha, na snowboarding. Ningependa kujifunza zaidi Kiswahili.
July 9, 2018

Want to progress faster?
Join this learning community and try out free exercises!