David
Tatizo kubwa ya kujifunza lugha mpya Ninafikiri tatizo kubwa ya kujifunza lugha mpya ni hofu ya kufanya mpumbavu. Watu wengi mwenye akili wansema Kiingereza tu. Wanafanya kazi kwa bidii na kwa kawaida wakwenda shule kwa muda mrefu. Wao ni watu mafanikio. Wengi wamejifunza kidogo Hispania kama watoto, lakini hawawesi kuitumia katika maisha ya kila siku. Miaka mingi iliyopita, wakati nilianza kujifunza Kiswahili, ilikuwa ni dhahiri kwamba ningefanya makosa mengi. Lugha ni muhimu kuelewa utamaduni. Hivyo nimeona nahitaji kuwa kama mtoto tena, kama nataka kuboresha Kiswahili yangu. Kwangu mimi, hata watoto vitabu katika Kiswahili ni vigumu kuelewa. Lakini kama mimi kuwaambia watoto wangu, kila kitu ni thamani ya kufanya ni ngumu!
Oct 14, 2015 5:01 PM