Ibrahim
nilikuwa ninahitaji msaada kufundishwa naomba msaada wenu kwasababu nataka kujua kiingreza kwa undani zaid
Nov 6, 2015 12:35 PM
Corrections · 5
1

nilikuwa ninahitaji msaada kufundishwa

naomba msaada wenu kwasababu nataka kujua kiingreza kwa undani zaid

 

Nilikuwa - is past tense

Nahitaji - is present tense.

You could say:

 

Ninahitaji msaada wa kufundishwa.

Naomba msaada wenu kwa sababu ningependa (nataka is "I want", which is often considered rude in Kiswahili if you are making a request) kujua Kiingereza kwa undani zaidi.

November 19, 2015

[nilikuwa] ninahitaji msaada kufundishwa

naomba msaada wenu kwa sababu nataka kujua kiingereza kwa undani zaidi


 

Kama unataka kujifunza kiingereza, ulize watu kuwa rafiki yako tu.

November 11, 2015
Want to progress faster?
Join this learning community and try out free exercises!