Pole Eve, sijahakikisha nawe kama wewe ni wa kutoka Nyanza, lakini
nimeshakuongelesha na Dholuo.
Samahani kwa hiyo,kwa vile nilipata jibu kutoka kwako akili yangu imeruka kabisa.
Pole inaweza kuwa wewe ni msichana wa kutoka Nyeri、Thika, Nakuru, Kericho, Kisii,ama Voi, Machakos na kadhaika. Tafadhali usisikie vibaya.