Ninge penda kupata fursa ya kujuana na mtu ambaye anaweza kunifundisha Kswahili zaidi, ndio niweze kuongeza misamiati. Mbali na hiyo, ninaendelea kujifunza Dholuo(Luo Language) , kwa hivyo , mtu ye
Ninge penda kupata fursa ya kujuana na mtu ambaye anaweza kunifundisha Kswahili zaidi, ndio niweze kuongeza misamiati. Mbali na hiyo, ninaendelea kujifunza Dholuo(Luo Language) , kwa hivyo , mtu yeyote tu anayetokka Nyanza, Siaya, Kisumu na kadhalika , tafadali unisaidie.