ابحث بين معلمي الإنجليزية المتعددين...
Kozi za Roda
السؤال 1 من 5
Roda ni msichana. Roda anaishi Mombasa. Siku ya Ijumaa, Roda hupenda kupika na mama yake. Jumamosi, Roda na dada yake huimba na kucheza densi. Jumapili, Roda hutazama runinga na baba yake. Roda anapenda kufanya shughuli na familia yake. Roda anapenda kufanya nini Jumapili ?
Kucheza densi
Kutazama runinga