zachariah getubo
Community Tutor
My everage day / siku yangu Mimi huamka kila siku ya jumnne alfajiri itimiapo saa kumi na mbili asubuhi kisha napiga mswaki baada ya kutoka kitandani. Kisha ninaelekea jikoni pangu kuoka kiamsha kinywa. Kama kawaida lazima tukipate ili kusisimua damu iliyokuwa imelala. Continues...😂
Oct 21, 2020 11:58 AM