Recherche parmi différents professeurs en Anglais…
Austin
Enseignant professionnelMimi na mke wangu tutaenda nyumbani kwa rafiki yetu. Nafurahi sana kwa sababu nimeshikwa na kazi na masomo kwa muda mrefu kwa hivyo hii ni nafasi ya kupumzika kidogo. Mimi ni mwanafunzi wa shahada ya uzamili na juma hili ni juma la livu. Hata hivyo, kwa sababu nina kazi nyingi, ninahitaji kufanya mazoezi na kusoma hata sasa. Nitafurahi sana mwisho wa juma utakapofika kwa sababu nitaweza kutumia muda na mke wangu na rafiki zangu bila kuwa na wasiwasi kuhusu masomo yangu.
16 mars 2022 23:26
Austin
Compétences linguistiques
Amharique, Chewa (chichewa), Anglais, Espagnol, Swahili, Zoulou
Langue étudiée
Zoulou
Articles qui pourraient te plaire

Same Word, Different Meaning: American, British, and South African English
21 j'aime · 17 Commentaires

How to Sound Confident in English (Even When You’re Nervous)
15 j'aime · 12 Commentaires

Marketing Vocabulary and Phrases for Business English Learners
13 j'aime · 6 Commentaires
Plus d'articles
