Diana Monkey
Makala yangu Nina makala ambaye nimeandika leo asubuhi. Hii simalizi, lakini ningependa kuituma gazeti kabla ya kwenda Cote d'Ivoire. Ninafikiri kwamba ninaweza! Hakuna shida. Makala hii ni kuhusu chakula cha nyani ninazidoea. Asubuhi hii pia, paka zangu walipigana. Nimejaribu kuwazuia, lakini wao ni wabaya sana. Baadaye, mimi na mpenzi wangu tulikula chakula cha Mexico kusherekea siku ya uhuru wao, Tano ya Mwezi Tano! Kesho, nitarudi chuoni kuandika zaidi... rafiki yangu ataondoka kwenda Mombasa na Diani kwa wiki miwili. Ninatumaini ninaweza kurudi pwani ya Kenya siku moja ...
6 mai 2013 03:45
Corrections · 2
umejaribu sana Diana, ningependa nikufunze Kiswahili zaidi kwa Skype. Natumai tutajiunga karibuni, asante :)
20 mai 2013

Makala yangu

Nina makala ambayo nimeandika leo asubuhi. Hii simalizi, lakini ningependa kutuma gazeti kabla ya kwenda Cote d'Ivoire. Nafikiri kwamba ninaweza! Hakuna shida. Makala haya ni kuhusu chakula cha nyani.

Asubuhi hii pia, paka wangu walipigana. Nimejaribu kuwazuia, lakini ni wabaya sana. Baadaye, mimi na mpenzi wangu tulikula chakula cha Mexico kusherekea siku ya uhuru wao, Tarehe tano wa Mwezi wa Tano!

Kesho, nitarudi chuoni kuandika zaidi... rafiki yangu ataondoka kwenda Mombasa na Diani kwa wiki mbili. Ninatumaini ninaweza kurudi pwani ya Kenya siku moja ...

20 mai 2013
Vous souhaitez progresser plus vite ?
Rejoignez cette communauté d'apprentissage et essayez les exercices gratuits !