多彩な 英語 講師陣から検索…
Austin
プロの講師Mimi na mke wangu tutaenda nyumbani kwa rafiki yetu. Nafurahi sana kwa sababu nimeshikwa na kazi na masomo kwa muda mrefu kwa hivyo hii ni nafasi ya kupumzika kidogo. Mimi ni mwanafunzi wa shahada ya uzamili na juma hili ni juma la livu. Hata hivyo, kwa sababu nina kazi nyingi, ninahitaji kufanya mazoezi na kusoma hata sasa. Nitafurahi sana mwisho wa juma utakapofika kwa sababu nitaweza kutumia muda na mke wangu na rafiki zangu bila kuwa na wasiwasi kuhusu masomo yangu.
2022年3月16日 23:26
Austin
語学スキル
アムハラ語, チェワ語 (チチェワ), 英語, スペイン語, スワヒリ語, ズールー語
言語学習
ズールー語
こんな記事もいかがでしょう

Same Word, Different Meaning: American, British, and South African English
21 いいね · 17 コメント

How to Sound Confident in English (Even When You’re Nervous)
15 いいね · 12 コメント

Marketing Vocabulary and Phrases for Business English Learners
13 いいね · 6 コメント
他の記事
