多彩な 英語 講師陣から検索…
zachariah getubo
コミュニティ チューター
JE WAJUA??

Wajua kwamba kuna tofauti kati ya maneno haya mawili>

Neno kuwa na neno kua>

Kuwa ni kitenzi kisaidizi, pia ni kitenzi cha silabi moja ambacho huongezwa silabi >KU  ili kuleta maana ya kutokea katika hali fulani au mahali fulani. Kwa mfano > Alikuwa darasani.

                                                 >Amekuwa akilima.

KUA ni kitenzi ambacho kinamaanisha > kuongezeka kwa binadamu katika kimo urefu na hata kunenepa.

Kwa mfano                           >Amekua mrefu.

                                                 >Amekua mnene.


2018年8月2日 08:01
コメント · 2
1
Asante kwa maelezo
2018年8月8日
Karibu Malaika
2018年8月8日

ご自宅で快適に語学を学べるチャンスをお見逃しなく。経験豊富な語学講師陣の中からお選びいただき、今すぐ最初のレッスンにお申し込みください!