多彩な 英語 講師陣から検索…
zachariah getubo
コミュニティ チューターJifunze Kiswahili kwa siku 21 ( swahili 21 days challenge )
Day 1
Matumizi ya amba katika umoja na wingi.
UMOJA WINGI
Sufuria ambayo- sufuria ambazo
Kalamu ambayo- Kalamu ambazo.
Ukuta ambao - kuta ambazo.
Ulimi ambao- Ndimi ambazo.
Paka ambaye -Paka ambao
-
MATUMIZI KATIKA SENTENSI.
Paka aliangusha sufuria ambàyo ilikuwa na nyama.
Paka waliangusha sufuria ambazo zilikuwa na nyama.
Mpe kalamu ambayo ina wino.
Wape kalamu ambazo zina wino.
Ule ukuta ambao una ufa utakarabatiwa.
Zile kuta ambazo zina nyufa zitakarabàtiwa.
Ulimi ambao unaona ni muhimu.
Ndimi ambazo zinaonja ni muhimu
2020年7月6日 04:26
zachariah getubo
語学スキル
英語, イタリア語, その他, スワヒリ語
言語学習
イタリア語
こんな記事もいかがでしょう

Same Word, Different Meaning: American, British, and South African English
12 いいね · 11 コメント

How to Sound Confident in English (Even When You’re Nervous)
13 いいね · 11 コメント

Marketing Vocabulary and Phrases for Business English Learners
10 いいね · 6 コメント
他の記事